ロッティ・モスのインスタグラム(lottiemossxo) - 2月22日 05時12分
Look back at it
Styling @danyulbrown
Hair @glamfeeney
Makeup @theofficialgeorgina
@gettyimages_rickyvigilm
[BIHAKUEN]UVシールド(UVShield)
aminamohamed35
⚘🌷*KISA KIZURI CHENYE MAFUNZO* *MKE ALIMKASIRIKIA* *MAMA_MKWE_WAKE* Mke Alisimama Kwenye Meza Ya Chakula Na Kumuacha Mama Mkwe Wake Mzee Kwenye Meza Ya Kula. Mume Naye Alisimama Kwa Mshangao Ili Ajue Kwa Nini Mkewe Ameondoka Ghafla Kwenye Meza Ya Chakula...!!! *MUME*
Kwa Nini Umeondoka Kwenye Meza Ya Chakula...? Mke Wangu Je Kuna Kitu Hakiku Kufurahisha...?
*MKE*
Ndio Mimi Nahisi Mikono Ya Mamako Ni Michafu Jambo Hilo Limenitibua Nafsi Yangu Paka Nikapoteza Hamu Ya Kula.
*MUME*
Je Hio Tuu Ndio Sababu Iliokuondosha Kwenye Meza Ya Chakula Au Kuna Mengine...? Haya Isiwe Tabu Niambie Tufanyeje Mke Wangu Kipenzi Changu Utakacho Sema Wewe Nitatekeleza. *MKE*
Tumtengee Sehemu Yake Ale Peke Yake Kwani Kuanzia Leo Sipo Tayari Kula Na Mamako Meza Moja.
*MUME*
Hapana Hapana Usiseme Hivyo Kipenzi Changu Haya Sawa Kuanzia Leo Tutamtengea Sehemu Yake Maalum Peke Yake Nakuahidi Mke Wangu. Lakini Inaonesha Hata Kuwepo Kwa Mamangu Pia Kunakudhoofisha Sio Mpenzi...? Au Tatizo Ni Hilo Moja Tu La Kunuka Kwa Mikono Ya Mamangu...?
*MKE*
Haswaaa Mume Wangu Kiukweli Kuwepo Kwa Huyo Bikizee Ndani Ya Nyumba Yetu Kunaninyima Raha Kabisa.
*MUME*
Lakini Mke Wangu Kama Unavyo Jua Mamangu Ni Mkubwa Kiumri Na Hana Mtu Wakumtegemea Zaidi Yangu Mimi Sasa Nini Rai Yaki...? *MKE*
Ufumbuzi Upo Hapa Chakufanya Nikumpeleka Kwenye Nyumba Za Wazee Na Huko Ndiko Makao Yake Tena Atashughulikiwa Vizuri Sana Ila Kama Hutofanya Hivyo Basi Mimi Nitaondoka Na Sitorudi Tena Kwako...!!! *MUME*
Wazo Zuri Sana Mke Wangu Muhimu Ni Furaha Yako Usijali Nitampeleka Mamangu Kwenye Nyumba Za Wazee
Mke Alifurahishwa Na Maneno Ya Mumewe Na Mume Aliongea Huku Akimuonesha Tabasamu Mkewe. Mara Mume Akapigiwa Simu Na Baba Mkwe Wake Hapo Hapo Akamuuliza Mkewe Hivi Mke Wangu Unadhani Kwa Nini Babako Amenipigia Simu Na Amenitaka Kesho Wote Humu Ndani Twende Kwake...? *MKE*
Ndio Najua Kwa Sababu Mimi Nilimwambia Baba Kila Kitu Na Akasema Atakupigia Simu *MUME*
Kwa Sababu Gani Mke Wangu *MKE*
Usijali Kesho Tukifika Kwa Baba Utajua Samahani Niko Hoi Taabani Naomba Uniache Nipumzike.
*MUME*
Bila Samahani Mpenzi Lala Usingizi Wenye Afya.
Mume Alitoka Kwenye Chumba Chao Na Akaelekea Chumban
y810c
you have a horrible stylist. you should let me do it instead lol
sssejaia
Ive been worthy now call me 07432818450 zax
nikhilbagai
Beautiful Lottie your so pretty 💙🖤❤💚💛
kizabaee
Such an iconic look yes 🔥🔥🔥
carolinevreeland
One million percent yes
>> 飲む日焼け止め!「UVシールド」を購入する
5,289
41
2019/2/22
Lena Spanksさんがフォロー